Musonye: Yanga inaonekana kuwa na wafuasi wengi kuliko Simba

Musonye: Yanga inaonekana kuwa na wafuasi wengi kuliko Simba

Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2010
Posts
1,175
Reaction score
604
Shalom!

Kwenye exclusive interview na gazeti la "Burudani" mapema wiki hii, Nicholaus Musonye katibu mkuu wa CECAFA amekiri kuwa Yanga na Simba ni timu zenye wapenzi wengi sana hapa nchini. Lakini akaongeza kwa kukiri kuwa Yanga inaonekana ina wafuasi wengi zaidi.

Labda ni assessmenet sahihi kwa kuzingatia kuwa huyu bwana amekuwa akiichukia sana Yanga tangu ilipotia mpira kwapani dhidi ya Simba mwaka ulee!!


Soma kipande hichi hapa cha interview...

===========================================
Swali:
Mashabiki wengi wa Yanga walikuwa awali wanakuchukia na kukuona mtu mbaya lakini baada ya kuirejesha timu hiyo walikupigia makofi. Hali hiyo unaizungumziaje?

Musonye:
Mimi nasema kwamba kwenye sheria lazima tufuate sheria, kitendo ambacho Yanga walikifanya kilikuwa kibaya kwa kukataza kuingiza timu yao kucheza na Simba. Lakini mambo hayo yamekwisha na wameomba msamaha na wamerejea na wamefanikiwa kuchukua ubingwa basi tuangalie mambo mengine yanayokuja.

Swali:
Umejifunza nini kuhusu soka kwa ujumla hapa nchini?

Musonye:
Mimi nimejifunza kwamba Watanzania wengi wanapenda soka hasa Simba na Yanga, lakini nimeona Yanga kuwa wana wapenzi wengi zaidi.
Jambo hili kwetu Kenya halipo nk, nk, nk, nk
 
mpumbavu huyo juha amewaibia watanzania na tenga wake kwenye mgao anadai lazima aakikishe fainali zinarudi tanzania tena ...ahana adabu anakuja sio kwa mashabiki bali kuvuna pesa zetu
 
mjaluo na Tohara ni vitu viwili tofauti.
ubingwa tulioutwaa sisi Yanga ni kumkumbusha Musonye awahi haraka kwa Ngaliba coz umri unazidi kwenda
 
mpumbavu huyo juha amewaibia watanzania na tenga wake kwenye mgao anadai lazima aakikishe fainali zinarudi tanzania tena ...ahana adabu anakuja sio kwa mashabiki bali kuvuna pesa zetu

CECAFA haiwezi ku-survive bila pesa. WaKenya hawapendi boli. Ni Watanzania ndio wapendao boli. Sasa untaka Musonye afanyeje ? Ama unataka CECAFA ife ?
 
Back
Top Bottom