Hii inanikumbusha wimbo wa TMK Wanaume- Ndege Tunduni!
••••Alitoka kidogo kuelekea kwenye maji, huyu mnyonyaji
Kugeuza kisogo wa kwanza kutoka ni mimi (Nature), nilishachoka
Kumbe kuna wenzangu walikuwa na akili kama zangu, hivyo hivyo nao wakatoka
AAAAAH WALTER, verse haijaishaaa!!!!
Wakabakia mabwege wengine wasioweza kutoka
Sababu nyoya zao zilikuwa zimenyonyoka
Mwingine mwenye nyoya ndogo, alipotaka kutoka, akabanwa na mlango! KHABAAAAH!!
Kumbe mwenye ndege alishawahi kufika, ikawa shida kwa yeye kutaka kutoka.... [emoji445][emoji442]
•••Mshike mshike ndege tunduni, sisi wajanja tumekimbia!