Tetesi: Mussa Hussein, Perfect Chrispin kusepa Clouds FM

Unamaanisha Financial Fair Play
 
Daah Mussa Hussein Mwana DSM kaniuma kinyama kuondoka na kumleta Mwijaku,,Leo tena zilizokiki na Jose Mara siskilizi tena Kumormake,maana Mussa alikua anajua sana kujenga hoja na kuchombeza pia hasa mada za kisiasa,,Perfecto ata aende tu kwanza bado mzito mdomoni,On point kapokonywa na Msanuaji hana chake
 
Amkeni Amkeniiii 🗣 inasemekana eti hao jamaa wanataka kusepa CMG chanzo chake hakijafaamika Habari kamili punde itawajia. Stay tuned
Sijui hata wapo wapi kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…