Mussa Kipanya atambulishwa Wasafi Media

Mussa Kipanya atambulishwa Wasafi Media

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Kamuacha Chawa aendeleze vichekesho peke yake.

20240819_194747.jpg
 
Combination yao ilishaanza kuleta attention
Consistance ndio kitu tunakikosa huu ukanda Mkuu, alafu watu hawajui kuna watu wanawachukua na kuwapa ajira ili kuwakata makalo wasije wakawazidi baadae.

Milard Ayo ni somo sana yule jamaa hasa kwa watu wa media. Walijaribu kumkata mbawa kwa ushauri wa akasome mara bla bla ila alikuwa mjanja sana jamaa.
 
Ni ndugu yake na kipanya ?
Maestro(KP) Huwa akiulizwa hili swali Huwa anakana...
Itakuwa hawana undugu
Pia mussa aliwahi kusema anamchukulia masoud kama role model wake
Ikumbukwe kuwa masssod kwao ni mtwara na Musa ni mtu WA Kanda ya ziwa huko

Halafu kipanya sio surname ya hao (mussa na massoud)isipokuwa ni aka ya massod kutokana na vikatuni anavyochora
Hivyo mussa aliamua atumie aka Ile ya kipanya...
Coz alishasema massoud ni role model wake..


Cc: Msitari wa pambizo
 
Back
Top Bottom