Mussa Mkama mhariri wa gazeti la Dira yuko wapi?

zebingwa

Member
Joined
Oct 6, 2024
Posts
33
Reaction score
71
Wakuu

Anaitwa Mussa Mkama mhariri wa zamani wa gazeti la Dira ya Mtanzania na baadae Fahari Yetu, mwenye namba zake anipe, kuna habari yake aliiandika, nataka kumpa vielelezo, nadhani itasaidia wananchi kuelekea uchaguzi, nimehitimisha utafiti wa miaka 6 nataka kumpa mrejesho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…