Mussa Mwakissu atua Wasafi FM

Tatizo wana few sessions but presenters kibao... Muda wanao wakutosha ili kuwe na efficient utilization waongeze sessions kila mtu awe covered vizuri

Sent from my SM-G970U1 using JamiiForums mobile app

Unless wana plan ya kufungua station au channel ya michezo tupu, otherwise ni matumizi mabaya ya rasilimali.

George ana vitu vingi vya kutuambia lakini hapati muda kabisa, jamaa huwa namwelewa sana.
 
Niliwahi kumsikia Jamal meneja vipindi vya tv Wana mpango wa kuwa na kipindi cha michezo kwenye tv.. nadhani tv yao ikifunguliwa wataanzisha na wengine watabaki kwenye tv.
 
Niliwahi kumsikia Jamal meneja vipindi vya tv Wana mpango wa kuwa na kipindi cha michezo kwenye tv.. nadhani tv yao ikifunguliwa wataanzisha na wengine watabaki kwenye tv.
No way ndio kipindi maarufu kuliko vipindi vyote pale.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…