Wasanii wabongo wakijitambua watafika mbali sana kimaisha tatizo hawajiamini kama wanaweza bila kuwa nyuma ya mtu flani wange ji organize wakaanzisha chama cha kusimamia kazi zao hata air time wawe wanalipwa lakini wao wanaona bila Ruge hawafanikiwi kitu kingine wakishakuwa maarufu wanaanza kujisahau na kutumia madawa hapo lazima tu upotee kwakweli
kwanza wao kwa wao hawa aminiani....ndo maana makundi yanavunjika.Wasanii wabongo wakijitambua watafika mbali sana kimaisha tatizo hawajiamini kama wanaweza bila kuwa nyuma ya mtu flani wange ji organize wakaanzisha chama cha kusimamia kazi zao hata air time wawe wanalipwa lakini wao wanaona bila Ruge hawafanikiwi kitu kingine wakishakuwa maarufu wanaanza kujisahau na kutumia madawa hapo lazima tu upotee kwakweli