A
Anonymous
Guest
Naomba mtusaidie kuhusu NHIF hasa kwa wanafunzi wa MUST. Muda wa kadi umeisha tarehe 8/10/2024, wanasema hawawezi kutoa control number hadi matokeo ya sup yatoke, sasa kwa hiki kipindi sisi wateja wao wanatuambia tukatibiwe kwa cash
Tunaomba waangalie namna nzuri si hivi kuna watu mwaka nzima hawajatumia kadi na walikuwa wamelipa so, pesa yao imeenda bure, wanataka kulipia kupata huduma, bado mambo yanakuwa mengi
Hayo matokeo yanakadiriwa kutoka tar28/10, sasa mtu asubiri siku 20 ili apate huduma?
Wengine wapo kwenye matibabu hospitalini kwamba hawawaoni?