MUST ni Electrical na Electronics Engineering au ni Electrical Engineeering tu?

MUST ni Electrical na Electronics Engineering au ni Electrical Engineeering tu?

Arsenalist

Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
74
Reaction score
46
Wadau naomba mnijuze. Niliichagua MUST kwa lengo la Electrical & Electronics Engineering. Lakini cha ajabu kuna link zao wenyewe wanaiandika kama Electrical Engineering tu. Swali nikihitimu ntantambuliwa kama Electrical & Electronics Engineering graduate au ndo ntakuwa Electrical Engineering graduate? Msaada kwenye tuta.
 
Je umejaribu kuingia kwenye website yao na wameandikaje?
 
electrical angeneer lazima asome electronics so usiwe na presha
 
Web yao kuna link wamendika Electrical and Electronics, na link nyingine humohumo wameandika Electrical Engineering.
 
npo must,,uchofu kijana utatambulika kama electcl an electrnc eng welcome
 
npo must,,uchofu kijana utatambulika kama electcl an electrnc eng welcome
Thanks bro there i come, lakini naweza niisikie kwenye bomba maana nimebambikiziwa kuwa nilimaliza OD miaka 3 nyuma wakati mwaka jana nilikuwa DIT. Dah
 
Ni Electrical & Electronics Eng. huwa wafupisha2, angalia kwenye Prospectus yao
 
Back
Top Bottom