Mustafa Hasanali arudi kwenye ubonge nyanya!

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia kwenu,

Nakumbuka miaka kama mi4 iliyopita watu tulikuwa tunamshangaa mustafa kwa jinsi alivyopungua na kuwa mwembamba hatari,lakini cha kushangaza amerudi tena kwenye ubonge nyanya,vp tena mustafa umeshindwa kujimantain? Au ubonge ni hasili yenu?
 
weka picha banaaa!
AFTER AND BEFORE!
lol!
mwe ila mi niliogopa alivopunguaaaa!kha!
 
hatumjui wengine ....weka kapicha ....
 
muyo mustafa ni nani wakuu?
Mtangazaji wa luninga?
 
kingkong utapichua au upichui?weka foto bana!
 

yaani utadhani wanachangia jina.
 

Attachments

  • image.jpg
    92.8 KB · Views: 343
  • image.jpg
    18.4 KB · Views: 334

We ni Kilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…