Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #21
Hahahaha me love this ruta! Hua wanajitahidi kua na kauli nzuri,smart 24/7,wanaenda na wakati hakuna kinachompita, kuuza sura kwa sana na kama kajaliwa uhandsome ndo mtajuta,anaoga mara tano tano, gheto lake smart all the time..mda wote ananukia lols!player bana!
na walio wengi ni ulimbukeni tu hamna lolote
Okada.....I want to believe but just tell me why and how
Sio ma-player wote wenye vijisent...huwa wanatumia maneno mazuuuri kwenye ku-soundisha.
Charminggirl acha kuzungumzia kijuujuu...............makali yao wayafahamu hususani ya kusuuziwa rungu..............lol
hahaha! Ruta
Wengine survive in town kwa huruma ya hao anaowachezea. But Ruta amesema sahihi kabisa...mwisho wa yote ndege mjanja anaishia kunaswa kwenye tundu bovu. Wengi wanaangukia sehemu ambayo hawakutazamia.
Nina wasiwasi kama wamekuelewa maana wengi,
hupofuka na kupumbaa gafla wanapoambiwa mambo ya uongo.
Ukijidai kuwaeleza ukweli toka moyoni ndiyo umewakosa kabisa,
mafataki wote ni wataalamu wa uongo.
Hivyo waache maana ilisemwa yakuwa "wajinga ndio waliwao"
Acha waliwe tu.
sasa wewe mchokozi, kumbuka bila players, wadada zetu wasingekua na zile smiles na urembo uuonao, players brighten up our sisters
kuna watu wanaamini wao ni wabarikiwa kama ndege warukao angani, hivyo kuvuna wasichopanda ni karama walopewa na muumba
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa, nani kama player??
Ki ukweli kabisa lazima tujue kuwa hawa wenzetu ni wataalam wa kusikiliza utamu tena wa maneno tu badala ya kupata utamu vitu wanavyotaka.Wengine survive in town kwa huruma ya hao anaowachezea. But Ruta amesema sahihi kabisa...mwisho wa yote ndege mjanja anaishia kunaswa kwenye tundu bovu. Wengi wanaangukia sehemu ambayo hawakutazamia.
TIMING.........I seriously suspect wewe ni pro Player........................hii misifa unayowamwagia siyo bure lazima umenyesha au umnyeshewa na hizo gharika zao...............
Unajua unanikumbusha mistari ya Mana-fa {wimbo: Bado nipo nipo} anaposemaKyaiyembe atatokea moja au wawili watanufaika na huo ndiyo msaada tutakuwa tumewapa.................na wale kichwa ngumu watakapokutana nayo watakumbuka tuliwaasa ila ni tamaa zao tu ndizo zimewaponza..........
TIMING ni kweli kabisa ma-Player wanasaidia kuokoa vijisenti vya dadazetu wasivipeleke kwa masangoma kisa hawaitwi mitaani!. Na kuharibu ngozi zao kwa chale nyinginyingi kupakwa madawa!.sasa wewe mchokozi, kumbuka bila players, wadada zetu wasingekua na zile smiles na urembo uuonao, players brighten up our sisters
kuna watu wanaamini wao ni wabarikiwa kama ndege warukao angani, hivyo kuvuna wasichopanda ni karama walopewa na muumba
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa, nani kama player??
Ndahani.....it is tough love or tough kuchanganyikiwa na kujichanganya?