Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!

take it from me bro.... no player' no happy woman on any street

flirting and playing is what we learnt!! kuanzia bustani ya eden hadi zozote zile duniani

I like dem players, but my age has passed me to be a player, I WAS A PLAYER!
U'r a real gentleman!
 
Ruta,are you a player?
Na je kuna ubaya gani kuwa player,kwani unawabaki,si wanaingia wenyewe 18 zako? Mfano bishanga uongo mambo yangu na nanilii kule arusha kwa wasaga mahindi karibu yananyooka,sasa nikininilinyu mtaniita player?
Kaka kuitwa utaitwa tu,
labda lawama ndiyo hatakiwi kupewa maana unakuwa umetafuta na kuomba, ukapewa na kupata (mafanikio)
Ongeza bidii unaukaribia U-Player.
 
yeah Kyaiyembe......it is dog eat dog world.....................
 
Last edited by a moderator:

hili ia hot-buttons limenigusa kweli Ndahani linahitaji muda wa kutosha nilitengenezee tenzi yake ya mahaba........lol
 
Last edited by a moderator:
Ruta,are you a player?
Na je kuna ubaya gani kuwa player,kwani unawabaki,si wanaingia wenyewe 18 zako? Mfano bishanga uongo mambo yangu na nanilii kule arusha kwa wasaga mahindi karibu yananyooka,sasa nikininilinyu mtaniita player?

Bishanga hiyo tenzi huoni ni ya Player mstaafu?
 
Last edited by a moderator:
Kaka kuitwa utaitwa tu,
labda lawama ndiyo hatakiwi kupewa maana unakuwa umetafuta na kuomba, ukapewa na kupata (mafanikio)
Ongeza bidii unaukaribia U-Player.

Kyaiyembe yafaa Bishanga arudie kusoma beti ya tano na mwisho atapata majibu kam ayeye ana sifa au hazitoshi
 
Last edited by a moderator:
Ruta hatutendi haki kuna mapungufu makubwa sana!
page inakaribia kuisha sioni mchango wa upande wa pili wameenda wapi?
Angalau basi waseme kama hawataki tuijadili hii topic!.

Kyaiyembe hivi sababu huijui kwanini wameingia mitini? Ni kwa sababu they are in love with a Player they need him for therapeutic reasons.......................
 
Kyaiyembe hivi sababu huijui kwanini wameingia mitini? Ni kwa sababu they are in love with a Player they did him for therapeutic reasons.......................
Looooooooooooooooooooo....!
They are hurt!
But sorry for now, Hope they clinch something from this topic.
 
Na wataalamu normally take time to learn where the touching would be most effective. Aikusa tu hakosei....mtu anaanguka jumla jumla.

Ndahani hii ni kali....kwa maelezo haya nimebaini bila ya ubishi ya kuwa wewe ni master Player........
 
Last edited by a moderator:
Kaka kuitwa utaitwa tu,
labda lawama ndiyo hatakiwi kupewa maana unakuwa umetafuta na kuomba, ukapewa na kupata (mafanikio)
Ongeza bidii unaukaribia U-Player.

Uko wapi Bishanga?
 
Last edited by a moderator:
(They know how to corner and cheers up women
Most of them know how to cover their cheating)....(
huwa hawapangi time scale yakuwa player ndio kinachowanyima kuwa (What I can say is that womanizers are the best husband) wengi hupotelea huko nakuingia na hako katabia kwenye ndoa zao sasa naniatavumilia?wanaharibu mpaka mwisho na sema hili kwaexperience yangu binafsi.
 
take it from me bro.... no player' no happy woman on any street

flirting and playing is what we learnt!! kuanzia bustani ya eden hadi zozote zile duniani

I like dem players, but my age has passed me to be a player, I WAS A PLAYER!

TIMING THIS IS a confession prayer of a real master Player
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…