Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!


nivea kwanza kabisa nikushukuru kwa ujasiri mkubwa uliouonyesha wengi wenu hii suala wanakwepa kulijadili kwa madai linawakumbusha machungu mengi ya kuliwa na master players.........................lakini sometimes a player gets played too............kuna wakati mwindaji naye huwindwa na kunaswa hadi akalia kwa kibanio kikali alichowekwa.................kuna jamaa mmoja alizowea kuwa-play mabinti za watu akakutana na saizi yake mbona alikudwa kabali hadi leo yuko kwenye kibanio kikali sana.....................so life is unpredictable.........
 
Ndahani hii ni kali....kwa maelezo haya nimebaini bila ya ubishi ya kuwa wewe ni master Player........

Haaahaaa! Ungelijua, wala usingesema. Ni udadisi tu na hizi shida ndogo ndogo za mahusiano zinatufanya tusogee tupende kujifunza. Wengine hatujui ku compromise kwenye kile kitu tunachokipenda,lol! Either nakipata au nakaa kama nilivyo...hakuna bora siku ziende.
 
TIMING THIS IS a confession prayer of a real master Player

Yep!!!

watch smiles when you flirt
watch bright faces when you flirt
watch blushes when you complement
and watch the eyes when you tease

its a beauty, nothing like it regardless of age
they love it, and cant live without it
it makes them aware of their beauty and style
it complements their dream of being queens

KIKUBWA ZAIDI, PLAYERS WANAPUNGUZA VISIRANI MAJUMBANI
 

Big up skendo, nimekulove kwa hii mistari. Nakuletea togwa sasa hivi, usiondoke
 
Last edited by a moderator:
exactly hiyo ndo shida yake!hizo nyingine hua ni mbwembwe za kumkoleza mtu..

Purple hebu nisaidie uzoefu wako maishani mwako have u been bitten by Player's fangs, even once......if so how does it feel?
 
Last edited by a moderator:
Big up skendo, nimekulove kwa hii mistari. Nakuletea togwa sasa hivi, usiondoke

yaani wikiendi yangu sasa imechipuka....nilikuwa nakusubiria wewe bombu wangu....................hebu nitungie tenzi ya uzoefu wako na player kama unataarifa zake na kama alikwisha ku-play.......usione sooooooooooooo. It is just the way life is................
 
Last edited by a moderator:

TIMING be serious...........................wataka kusema non-players hawawezi kuwapa haya mavituzi wapenzi wao................it has to be players only.......siamini hata chembe..........nguvu ya player ni ile danger na sordidness itakanayo na kuiba cha wengineo huku akidhamiria kuishia hata kabla binti hajajua linaloendelea.........

visirani nafikiri hawapunguzi ila wanaviongeza kwa sababu akishaonjeshwa madoido ya player kweli nyumbani kunakalika tena? Si anamwona wandani wake kama juha vile?
 

Ndahani acha to beat around the bush.........kiri tu yakuwa sometimes you play them around as they often play you too around.....................what is the heck?
 
Last edited by a moderator:
Pole lakini usife moyo
Ukifa moyo waweza kuwa GOLD-DIGGER!
 
Ndahani acha to beat around the bush.........kiri tu yakuwa sometimes you play them around as they often play you too around.....................what is the heck?
Am too old to do it....umri ushakwenda kaka! Na hata nilipokuwa kijana speed yangu ilikuwa ndogo sana I could not match their forward movements...ndo maana nilitulia na kujaribu kujifunza ili baadae hekima iwe inatawala. Kitu ambacho sijaweza kujifunza ni compromising my standards...that is never,lol!
 
Pole lakini usife moyo
Ukifa moyo waweza kuwa GOLD-DIGGER!
 
Rutashubanyuma

Yes I saw him, when he passed,
I thot he disappeared, but around he turned,
within my head, I got alarmed
There! i remembered, about him I've heard.

This is a player, ma neighbor he impregnated,
I couldn't guess, what else he wanted,
Then I realized, its me he planned,
Lol! I couldn't imagine, I'd be his second,

Slowly he moved, towards me he approached,
With his sweet tongue, he sang like a bird,
Like a baby he cried, That he'd die if i refused
I bet he'd have known, his ways have spread.

A player bwana!

Sometimes he forgets, the streets he's visited,
Then back he comes, thinking he's never passed
Boom! she emerged, the gal he impregnated
guess what happened? Lol
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, siwezi kukuangusha, nahis umeshaona. Maplayer tunao, tunaishi nao, majumbani kwetu, mitaani kwetu, wao kwao kupendana si priority. Wengine huahidi hadi ndoa, lol, na wanagonga kama nyoka, jino moja tuu! then haoooo, hutawaona
 
Last edited by a moderator:

Na wengine wengi hadi leo wako kwenye ndoa zao,
wake zao watajua siku ya Misiba yao!
 

bombu....yaani sasa naweza kuondoka kwenye key board hadi 2morrow....you have made my weekend very sweet like what?........................am loss of describable words
kazi kubwa ya player ni kujenga mazingira asuuziwe rungu lake....period baada yahapo ni kiguu kwa njia.......
 
Last edited by a moderator:
Pole lakini usife moyo
Ukifa moyo waweza kuwa GOLD-DIGGER!
Kyaiyembe, nasi tumeshajifunza ku-waplay around! tumeshajifunza mbinu zao na tumezijua, kilichobaki ni kuthubutuu na kusonaga mbele...as JK said, lol. By the way habari ya weekend?
 
Last edited by a moderator:
Rutashubanyuma, siwezi kukuangusha, nahis umeshaona. Maplayer tunao, tunaishi nao, majumbani kwetu, mitaani kwetu, wao kwao kupendana si priority. Wengine huahidi hadi ndoa, lol, na wanagonga kama nyoka, jino moja tuu! then haoooo, hutawaona

......Player wanavuma na bado hawamo............ni kituko...............bombu
 
Last edited by a moderator:
Na wengine wengi hadi leo wako kwenye ndoa zao,
wake zao watajua siku ya Misiba yao!

Okada hii sasa ni horror movie............very scary
 
Last edited by a moderator:
Unatisha mithili ya BOMU
I cant guess
But I' waiting.......................!
 

Umeona Rutashubanyuma, eeh? Yaani, hawa watu ni noma kabisaa. Halafu wana nyimbo nzuuri kama ndege wa asubuhi. Lol, unajikuta ushaangukia mtegoni hata bila kujitambua, heee! na wengine hata hela hawana, kwa ulagahi wao wa mapenzi, tuu waweza mpa kila ulichonacho, to be alarmed keshahamia kwa mwingine
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…