Mustakabali wa Player ni kuvuna asichopanda!

Kyaiyembe, nasi tumeshajifunza ku-waplay around! tumeshajifunza mbinu zao na tumezijua, kilichobaki ni kuthubutuu na kusonaga mbele...as JK said, lol. By the way habari ya weekend?

Details zinatakiwa bombu.........baada ya kujua mustakabali wao na kuosoma wote nanyi huwa mnawa-play kivipi?
 
Last edited by a moderator:

Ndahani..am glad there no closed closets..........for public viewing
 
Last edited by a moderator:
Kyaiyembe, nasi tumeshajifunza ku-waplay around! tumeshajifunza mbinu zao na tumezijua, kilichobaki ni kuthubutuu na kusonaga mbele...as JK said, lol. By the way habari ya weekend?

Big Up!
Sasa naona mnaweza kama hamjasubiri kuwezeshwa katika hili.
Itanoga zaidi pale ikiwa She-Plyer vs He-Player,
 

bombu.....................lakini dalili si mnazijua ila mnapofuliwa na tamaa ya mahaba na wao huvutwa na bidhaa adimu................................lol...........sasa togwa inayotokea hapo haina mfano kwa vurugu zake.........
 
Last edited by a moderator:
Big Up!
Sasa naona mnaweza kama hamjasubiri kuwezeshwa katika hili.
Itanoga zaidi pale ikiwa She-Plyer vs He-Player,

Mwe! una vituko weweee!
Ngoja tuone movie itakuwaje, nahisi itakuwa na mvutoo sana.
Anyways, mie nimeongea in general, coz wengi wamelizwa sana na hawa He-players, hadi wamekuwa sugu.

Ndo maana utasikia wanaume wenye nia kweli wanalalamika kuwa wanawake wengi ni wasanii na hawana mapenzi ya dhati. We unahisi ni nini hapo? Inamaanisha kuwa gals nao tumeanza kuwa players (SIO WOTE), ila usitegemee kupata mapenzi ya kweli pasipo kutoa mapenzi ya kweli. Hivyo ni bora wote tuwe players tuu, kila mmoja kwa namna yake
 
Unajua kinachotoke baada ya hiyo movie?
=Single Player double position!.
Usiniulize.
 
Usiniquote bana Rutashubanyuma...wataka details tena? wacha nkajipange ntakuja jibu hili ASAP. Stay tuned lol

bombu kwa ahadi hizi za nguvu sijui nami nitoke kidogo khalafu nikirudi nikute tayari umenitundikia haphap...nifaidi mwenyewe........
 
Last edited by a moderator:
Unajua kinachotoke baada ya hiyo movie?
=Single Player double position!.
Usiniulize.

Kyaiyembe nimfahamuvyo bombu....hata kubali atadai ufafanuzi hapo........................kwenye red..lol
 
Last edited by a moderator:

bombu hakuna mwanya wa kurekebishana?
 
Last edited by a moderator:
Pole lakini usife moyo
Ukifa moyo waweza kuwa GOLD-DIGGER!

nivea a gold digger is just another form of a player..................a player is someone who plays with your feelings in order to gain a selfish advantage against you.........Kyaiyembe kama una tafsiri bora zaidi ibandike mie nimejaribu kuiona hiyo tu.........
 
Last edited by a moderator:
Uko sahihi kabisa!
He-Player after (chuchu, mauno etc....)-LOVE
She-Player after (money)-LOVE
 
ukipenda vya kunyonga, vya kuchinja hutowezea, wataishia kuchezea, thamani yako potezea. Jihadhar na player, ruta kaelezea.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…