Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
- Thread starter
-
- #101
Nimemkuta kwenye Thread moja ya Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda
Ukiingia huku waweza mkuta lakini nako naona kaingia mtini
Sasa Rutashubanyuma Mkumbushe Bombu atimize ahadi yake.
no comment today, mi nitakuwa nasoma nipate uzoefu wa players
Kyaiyembe.............sijakimbia hii topic kwangu imekaa zaidi kupata ufahamu naona vitu in all new light............nimekaa na kuwatafakari watu fulani na bahati nzuri tafakari yangu inaanza kunionyesha mambo fulaniSitakimbia kama Lemonade, akitaka ntamdadafulia tu mwambie asiogope!.
Kyaiyembe mdaku......duh!Nimemkuta kwenye Thread moja ya Kutoka Jangwani: Mkutano wa CHADEMA, Vua Gamba, Vaa Gwanda
Ukiingia huku waweza mkuta lakini nako naona kaingia mtini
Ulikuwa hujui Rutashubanyuma?
Kyaiyembe.............sijakimbia hii topic kwangu imekaa zaidi kupata ufahamu naona vitu in all new light............nimekaa na kuwatafakari watu fulani na bahati nzuri tafakari yangu inaanza kunionyesha mambo fulani
You know what Rutashubanyuma i just realized i have been duped.........all the men i have been associating myself with wana element za u player.................nafwaaaaalemonade hii nimeipenda kama kuna kitu umepata humu basi ni swafi kabisa...........................malengo yametimia kabisa........
Baby girl never give-up You're still FLOWER!.You know what Rutashubanyuma i just realized i have been duped.........all the men i have been associating myself with wana element za u player.................nafwaaaaa
usikonde dogo............ kwenye normal distribution curve asilimia sabini wapo kundi hilo unaloliona, waliobaki ni wachache na wana sifa mbalimbali kuanzia abusive, ushoga, midomo zege, joni kisomo nkYou know what Rutashubanyuma i just realized i have been duped.........all the men i have been associating myself with wana element za u player.................nafwaaaaa