Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni nimeangalia kipindi kimoja tu cha mechi kati ya KVZ vs YANGA ila uyu dogo anaitwa mustapha a.k.a N'golo Kante ni balaa.
Yani skills kama zote, ni swala la muda tu hii michuano ikiisha dogo atakuwa level nyingine kabisa.
Yani skills kama zote, ni swala la muda tu hii michuano ikiisha dogo atakuwa level nyingine kabisa.