Huyo hapo kati kati!
Kwa mpira achezao, uwezekano mkubwa hawezi fika mbali. Anapaka rangi nyingi kisha anashangiliwa, kichwa kinazidi sikio anaishia kama Ngasa.Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni nimeangalia kipindi kimoja tu cha mechi kati ya KVZ vs YANGA ila uyu dogo anaitwa mustapha a.k.a nkolo kante ni balaa. Yani skills kama zote, niswala la muda tu hii michuano ikiisha dogo atakuwa level nyingine kabisa.
Kwa mpira achezao, uwezekano mkubwa hawezi fika mbali. Anapaka rangi nyingi kisha anashangiliwa, kichwa kinazidi sikio anaishia kama Ngasa.
Naona mzee alitaka Sikio ndio lizid Kichwa.hahahahahaha...kichwa kuzidi sikio ni kawaida, ila sikio kuzidi kichwa hapo ndipo lilipo tatizo...ehtehteteh
Dogo atafika mbali sana akipata good managementMnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni nimeangalia kipindi kimoja tu cha mechi kati ya KVZ vs YANGA ila uyu dogo anaitwa mustapha a.k.a N'golo Kante ni balaa.
Yani skills kama zote, ni swala la muda tu hii michuano ikiisha dogo atakuwa level nyingine kabisa.