Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
Wale wa arusha/moshi ilikuwa noah na huku tena noahAlikuwa anapima power of water
Kila siku madereva wanakumbushwa kutojaribu hii kitualifariki Kwa ajali ya Maji juzi ktk bonde la Mkwajuni akijaribu kupita na Noah yake bila kujua kama maji ni mengi na yanapita juu ya Barabara
Ndio. Si ndio uchawi wanao jivunia?Mvua za simba?
Rest Easy
Alikuwa anapima power of water
Madereva kwanini?? Kupita kwenye maji ni mwiko.Kila siku madereva wanakumbushwa kutojaribu hii kitu
Jambo lingine ni kuwa unapo katiza kwenye maji unakuwa umeyakata/umeyawekea kingo ambayo haina foundatiom chini.Kifo kinaita. We unaona maji yamejaa tena yanapita juu ya barabara kwa Kasi unaamini gari yako itahimili Kasi ya maji bila kukumbuka kuwa gurudumu za gari zimejaa upepo kitu kinachopunguza balance na uzito wa gari kwenye maji.
Kingine kwa utandawazi huu tushasikia vifo vingi vya namna hii na bado mtu unajipa ujasiri wa kupeleka gari yako kwenye hali kama hiyo. HAKIKA KIFO KINAITA
😳makubwaNdio. Si ndio uchawi wanao jivunia?
Ukute tayari alikua ameshaanza kutuhumiwa huko, "najua Unachelewa huko kwa Malaya wako" dah, just thinking loudR.I.P Mwananchi.
........Ina maana hakuona maji yamezidi avumilie yapungue.
Angepaki hata mahali akalala kwenye gariMadereva kwanini?? Kupita kwenye maji ni mwiko.
Angeweza kurudi apite hata Morocco au Mwananyamala
Sijui huwa inakuwa ni nini? Kinondoni kuna njia nyingi kuingia Mbezi. DahAngepaki hata mahali akalala kwenye gari