Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma, amejibu hoja ya CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuzeeka, akisema wamuache mzee wao kwa sababu bado wapo naye na yeye ni chuma cha CCM.
Debe tupu....pelekeni watoto shule....
Na hii ndio shida ya CCM ..kuruhusu character za hovyo kubwabwaja...
Huko mbeleni kuna shughuli pevu...yetu macho
Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma, amejibu hoja ya CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuzeeka, akisema wamuache mzee wao kwa sababu bado wapo naye na yeye ni chuma cha CCM.
Hii nchi mazezeta kibao kama hilo jamaa ndio wanaopewa nafasi aisee 🙆 sasa hapo kaongea nini yani yeye ndio akapambane na Heche ana akili timamu kweli huyo