Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Nini kilichomuta ASAD? tatizo wakikaguliwa na kukutwa na madudu CAG ndio anaangushiwa zigo?Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshauri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa kuwapima wateule wa Rais wanaotaka kugombea ubunge kabla ya kuruhusiwa.
Ameyasema hayo leo, Jumatano Aprili 15, 2025 bungeni alipokuwa akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).
Mzizi wa hoja ya Musukuma ni kukazia kauli wa Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Machi 11, 2025 akiwataka wakuu wa wilaya (DC), wakurugenzi wa halmashauri (DED) na watumishi wengine wa Serikali wanaotaka kujitosa katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu kutoa taarifa mapema, la sivyo watakosa vyote.
"Kwa wale wanaotaka kugombea kutokea huko (wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi), natamani CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) awafanyie ukaguzi maalumu ili waje humu wakiwa wasafi. Tusiifanye nyumba hii kama kinga," amesema Musukuma.
View attachment 3306314
Mfano haiProf Assad 😂
Kwani yeye ni msafi kiasi Gani?Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshauri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa kuwapima wateule wa Rais wanaotaka kugombea ubunge kabla ya kuruhusiwa.
Ameyasema hayo leo, Jumatano Aprili 15, 2025 bungeni alipokuwa akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).
Mzizi wa hoja ya Musukuma ni kukazia kauli wa Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Machi 11, 2025 akiwataka wakuu wa wilaya (DC), wakurugenzi wa halmashauri (DED) na watumishi wengine wa Serikali wanaotaka kujitosa katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu kutoa taarifa mapema, la sivyo watakosa vyote.
"Kwa wale wanaotaka kugombea kutokea huko (wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi), natamani CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) awafanyie ukaguzi maalumu ili waje humu wakiwa wasafi. Tusiifanye nyumba hii kama kinga," amesema Musukuma.
Wanaiba snWameiba hela za umma wanaenda kuwahonga wajumbe wa CCM ili waendelee kula mema ya nchi wao wenyewe. Ana hoja, asikilizwe
Hata wenzake waibe kama yeyeYeye ana usafi gani huyo Ngosha? Lol
Wazo zuriMbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemshauri Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa kuwapima wateule wa Rais wanaotaka kugombea ubunge kabla ya kuruhusiwa.
Ameyasema hayo leo, Jumatano Aprili 15, 2025 bungeni alipokuwa akichangia hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2025/26 ya Wizara ya Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).
Mzizi wa hoja ya Musukuma ni kukazia kauli wa Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Machi 11, 2025 akiwataka wakuu wa wilaya (DC), wakurugenzi wa halmashauri (DED) na watumishi wengine wa Serikali wanaotaka kujitosa katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu kutoa taarifa mapema, la sivyo watakosa vyote.
"Kwa wale wanaotaka kugombea kutokea huko (wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi), natamani CAG (Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali) awafanyie ukaguzi maalumu ili waje humu wakiwa wasafi. Tusiifanye nyumba hii kama kinga," amesema Musukuma.
Hapo sasa,Hata wenzake waibe kama yeye
Yeye kaiba wapi??Hata wenzake waibe kama yeye
Hatari snHapo sasa,
Rushwa wanazopokea unazijua?Yeye kaiba wapi??