Musukuma, kwanini unataka Hayati Dkt. Magufuli asisemwe?

Akili ya Msukuma unaiamini?
 
Jiwe mabaya yanamwandama
 
Asisemwe Kwani yee nani bhana..??
Jitu lilikuwa kichaa kabisa mpaka watoto wadogo wanajua nchi ilikuwa inaongozwa na mwendawazimu.

Sio nchi!!! usiharibu makala....
utashi wako ndo uliona hvo, usiwasemee wananchi.
 
Asemwe ili watu wajue ubaya haulipi!
Mfano, Awamu ya Tano walizuka wanaharakati wa kujitegemea waliokuwa wanawaandama watu na kuwatukana watu wenye maoni tofauti, jambo ambalo halikuwepo kwenye awamu zote. Je, akina Musukuma ni mwendelezo wa wanaharakati wale part two? Je, watu wale wanafaa kuigwa na watawala wengine? mbona wamepotea ghafla kwenye awamu ya sita?

Nani kamwambia Musukuma kuwa Mama Samia ni legelege, amemsikia nani?
 
Ajabu. HIvi wewe kiumbe una akili ya kujua akili? Pumbavu sana.
Mungu mtu, hata Mungu kuna wakati watu wanamlaumu kama mambo yao yakienda ndivyosivyo. hatari kubwa iliyokuwa ikitunyemelea ni:

1. Kupotea kwa demokrasia
2. Kubadilishwa kwa Katiba imfae mtu mmoja na watu wake
3. kufa kwa vyama vingi
4. Kutengwa na dunia kibiashara na kiitifaki
5. Hali ya maisha kuwa ngumu zaidi
6. Watu kupotea kama sindano
7. Ukabila kurudi
8. Taifa kugawanyika
9. Watu kukosa hela hata ya kununulia wembe wa kunyoa nywele za sehemu mbalimbali za mwili.
10. Hofu kuu kwa wananchi wote
11. Nchi kutawaliwa kijeshi
 
Tu
Tusikubali Ukabila hapa Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…