Ajiuzulu kwasababu amefichua kuwa mlikua na mwenyekiti wa CCM mwenye file milembe?Diallo Ajiuzulu hana ushawishi tena Mwanza
Mwenyekiti wenu ana faili wapi?anakunywa hadi anaporomoka kwenye ngaziajiuzulu kwasababu amefichua kuwa mlikua na mwenyekiti wa CCM mwenye file milembe?
Masikini mjane wa mzee pombe hapa tayari umeshapanic 🤣 🤣 🤣Mwenyekiti wenu ana faili wapi?anakunywa hadi anaporomoka kwenye ngazi
Ajiuzuru kwasababu hakusema mapema mpaka Mwenyekiti wao akashinda uchaguzi mkuu twice...Diallo inabidi atuombe watanzania msamaha Kwa kukaa na taarifa hizi muhimu wakati wote.ajiuzulu kwasababu amefichua kuwa mlikua na mwenyekiti wa ccm mwenye file milembe??
JingaLaoDiallo Ajiuzulu hana ushawishi tena Mwanza
Mbona siku hizi una swaga za kiben ten?Masikini mjane wa mzee pombe hapa tayari umeshapanic 🤣 🤣 🤣