Musukuma: Mke wa Diallo alipewa Ukurugenzi na Hayati Magufuli. Asema alimsaidia Star Tv ilipofungiwa na TRA

Nyumbu wako chadema ambako lisu na mbowe +lema ni miungu na ma genius wao.
Kwa CCm hakuna nyumbu na ndo maana unaona wana ccm wanabishana wao kwa wao na kuchimbana biti, hakuna mungu wa chama pale.
Kinachotakiwa ni heshima tu.

Sasa hayo yatokee chadema lazima mtu afe au aitwe msaliti na kutupiliwa mbali hata bila utaratibu wa katiba yao.
( covid 19)
 
Ka
Msukuma ni mjinga sana .
Kwa hiyo wasukuma wote walipendelewa au siyo.
Tatizo la kuwa na watu wanaojidai wajanja huku hawaoni madhara ya wanachoongea ni hawa punguani.
Kama wewe mwenyewe ambaye hujui huku unajifanya kujua kama msukuma mjinga.
 
Kwa hiyo Magufuli alimteua mke wa Diallo kwa upendeleo?
 
Asitutoe kwenye reli huyu arudi shule akaelimike.
Sisi tunalia na tozo haramu
 
Huyo Dialo kama yuko kamati kuu ya ccm ni mtu hafai huko anajiwakilisha kwa maslahi yake ya kibiashara. Halafu ni mjinga cheti feki.
 
kwaio kama ameyafanya hayo ndio asiseme ukweli wa moyo wake?
 
Nchi imejaa wajinga. Eti ni vingozi. Yaani watu wanapeana tuvyeo ili wasiseme uozo? Yaani nikimpa mkeo kacheo naruhusiwa kuchepuka naye tu ukiwa umenyamaza?
 
Nchi imejaa wajinga. Eti ni vingozi. Yaani watu wanapeana tuvyeo ili wasiseme uozo? Yaani nikimpa mkeo kacheo naruhusiwa kuchepuka naye tu ukiwa umenyamaza?
katiba mpya inaumuhimu sana kutokana na upumbavu kama huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…