Musukuma: Mke wa Diallo alipewa Ukurugenzi na Hayati Magufuli. Asema alimsaidia Star Tv ilipofungiwa na TRA

Kwa matendo aliyotenda Mwendazake ni viumu sana kumtetea ndiyo maana huyu Msukuma amesema kuwa Diallo asiongee kwa vile alimpatia mke wake cheo cha DED. STUPID argument
Kwa kweli kwa hoja hiyo, ndiyo inapoonesha kuwa Musukuma ni mbumbumbu.
 
Musukuma ni mjinga, kwake kutetea mambo ya kijinga, ndiyo upeo wake unapoishia.
 
Kwani TRA waliwahi kufungui chombo bila shinikizo?
Oops! Nimesahau!!
Kumbe najibu hoja ya Msukuma the O[emoji1]
Taratibu majambazi yanaanza kutaja njia yaliyokuwa yanatumia kuiba na kupendeleana.
 
Hahaha! nakuuliza kwa mara ya mwisho upo tayari kwa matusi ?
Hapa ndo nyumbani kwa lugha hizo.
Nasubiri hapa hapa na tutakesha kwa kutukanana tu.
 
Hakuna aneogopa english hapa, bali nimeisha kusoma mara nyingi unapenda kutoa kashfa kwa hiyo lugha humu ndani.

Na kwa tathimini yangu unapotoa kashfa zako ni kutaka kuwaaminisha wasomaji humu kuwa una elimu kubwa sana kudhidi hata wasomaji wenyewe.
Kwani mara nyingi unawatusi waliokuwa wanamkubali Magufuli kuwa hawana elimu.
 
Kuna watu wamepewa ulaji na Mbowe hawathubutu kumkosoa

Ndio waafrika tulivyo usiwashangae wanaccm ambao walikaa kimya kwa kuwa kuna nafasi wameteuliwa
 
Peleka mtoto shule apate elimu msukuma ni mjinga,yaani magufuli asisemwe ye ni nani ,
 
Msukuma ni chawa tu pumbavu kabisa
 
Sasa na mimi nimo sasa wewe mwenye akili kubwa umeisaidia nn jamii yako ?

Hata wazazi wako wanaweza kuwa wanajiraumu kwa nini walikizaa, na kukusomesha St. Marys.

Wewe mjinga kama ujinga wenyewe huna lolote la kusema unawazidi mashabiki wa Magu.

Mtoto wa mbwa jike wewe.
 
Support nyingi sana kwa msukuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…