Namaani hiyo dini inayotawala kule Misri mkuu.
mi sioni ubaya,kwani kujamiiana ni kukutana kimwili,na mtu anapokufa mwili c upo bado?waagane tu,mradi sheria iwaruhusu tu!maana sheria ni makubaliano ya wanajamii,inaonekana ni kitu cha ajabu kwa sababu ni kigeni tu,kama tungezaliwa na kukuta mambo haya yanafanyika ingekuwa ni kawaida kabisa
Ndio yale ya mapinduzi 1964 .nimewahi ikiwa moto moto. Bure kabisa.
Dini ipi hiyo?
.
Kwani hujui dini yenye ushawishi kwa watawala wa Misri?
.
Mkuu unajifanya unazunguka. Mkuu dini hiyo hiyo ipo Iran na nchi zote za Mashariki ya kati. Nadhani hawa wana matatizo yao tu
ama kweli wanaume ni viumbe waroho na wabinafsi
Sifahamu kama hao wabunge wana akili timamu kujadili suala kama hili.poleni sana akina mama wa Misri
Tukiulizana iwapo kuna "maandiko" yanayoruhusu jambo hilo kuna watu watanuna humu, bora tuyaache yalivyo!