Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Mark Takano amewasilisha muswada Bunge la wawakilishi Califonia akitaka siku za kazi ziwe nne iwe sheria ya Kitaifa Nchini Marekani.
Takano amesema jambo hilo litaongeza ubora wa maisha kwa wafanyakazi kwani itawaongezea muda wa kuishi, kucheza na kuyafurahia maisha nje ya kazi bila kupoteza kipato. Utafiti unasema itaongeza furaha kwa wafanyakazi.
Nikawaza hili jambo lingetua kwenye meza ya Mzee Mwinyi, Hapo Spika angekuwa mzee wa Kongwa!