Buchanan
JF-Expert Member
- May 19, 2009
- 13,192
- 1,972
Tarehe 27 Oktoba 2009 Spika 6 aliliambia Bunge kwamba Mh Rais ametoa kibali na kwamba The Constituencies Development Catalyst Fund Bill, 2009 imeshakuwa Sheria ya Nchi na Sheria hiyo itaitwa The Constituencies Development Catalyst Fund Act, Na. 16 wa mwaka 2009! WanaJF mlionyesha wasiwasi wenu juu ya huu mfuko lakini ndio hivyo imeshakuwa ni mojawapo ya Sheria za nchi. Kilichobaki ni kusubiri juu ya matumizi hasa ya mfuko huo!