Wadau naombeni kupata fafanuzi wa huu muswada ulopitishwa hivi karibuni.
Ndani ya muswada huu kuna kipengele kinasema kwamba;Mtu yeyote ataketumia line ya simu ambayo haijasajiliwa baada ya muda wa usajili kwisha atatozwa faini ya TZS1500,000/=
Swali linakuja hapa,huyu wanaemtoza hiyo faini ni halali kwake ama hivyo faini inastahili watozwe wenye mitandao hiyo(makampuni ya simu)kwa kuruhusu line kuendelea kutumia?
Naomba kuwasilisha.