Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi kuanza kujadiliwa na Kamati ya Bunge

Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa binafsi kuanza kujadiliwa na Kamati ya Bunge

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Muswada huo uliosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza Septemba 2022, unaendelea kwenye mchakato, Oktoba 18, 2022 utawasilishwa katika Kamati ya Bunge, Oktoba 19, 2022 wadau watawasilisha maoni yao.

Oktoba 20 na 21, 2022 kunatarajiwa kuwa na mjadala mwingine kuhusu muswada huo kwa kisha utapelekwa Bungeni kuendelea kujadiliwa katika Bunge la 11 ambalo litahusika kutunga sheria na ukipitishwa utakuwa unasubiri hatua ya kusainiwa na Rais kuwa Sheria kamili.

Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele kusisitiza umuhimu wa Sheria hiyo itakayosimamia ukusanyaji, uchakataji na utumiaji wa Taarifa binafsi za Watanzania.

Pia soma:
Maxence Melo: Kukosa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni hatari kwa usalama wa nchi

Maxence Melo: Mpaka sasa hakuna Sheria wala Utaratibu rasmi wa kulinda taarifa binafsi za watanzania
 
Back
Top Bottom