Mutatis mutandis dhidi ya celeris paribas

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Mutatis mutandis: Lat. With the necessary changes in points of detail, meaning that matters or things are generally the same, but to be altered when necessary as to names, offices, and the like.

Yaani, the basic structure is the same but there may be a few changes made.

Celeris paribus nimeshindwa kuipata maana yake lakini nadhani itakuwa the opposite of this,kwamba mabadiliko makubwa yafanyike katika utaratibu.

Pascal Mayalla nadhani alikuwa anaongea kuhusu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu mwaka kesho anapendekeza mutatis mutandis, kwamba yafanyike mabadiliko madogo ya hapa na pale.

Well,eeer,yes,hili jambo sijalifikiria,lakini sidhani kama kuna mambo mengi ya kubadili katika Uchaguzi.

Simon Sirro alikuwa anasema,"Please calm down everyone, huu Uchaguzi siyo wa kwanza, tuna uzoefu mkubwa wa kusimamia Uchaguzi"
 
Ceteris Puribus yaweza kufananishwa na yalosemwa Bukoba. Yaani bila kujali mtarajiwa kapata kura ngapi lakini maamuzi kwamba ameishashinda yapo palepale.

Ila kwenye Mutatis Mutandis ni pale aneambiwa ahakikishe kura zaongewa na zile za …. na mhusika, “Nimewaambia RAS wahakikishe kura zajitosheleza na Mutatis Mutandis applies to DAS and poll stations administrators”.
 
ceteris baribus =all other things being equal
 
Ganesh hawezi kukamatwa pascal....hiyo ya kufukuzana ni family matters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…