Muthama faults President Elect Uhuru for using presidential jet

Nikidhani kura za Wakenya ndizo zimempatia urais kumbe bado kuna mazingaombwe mengine!

Mkuu mazingaombwe yanatokana nakesi zilizofunguliwa kwenye Supreme Court, hivyo mpaka zimalizike kwa muda maalum kwa mujibu wa katiba na mahkama imthibitishe.
 

Katiba Nzee hiyo mkuu. Mpya inasema

Assumption of office of President.

141(3) The President-elect assumes office by taking and subscribing
the oath or affirmation of allegiance, and the oath or affirmation for
the execution of the functions of office, as prescribed in the Third
Schedule.

Kwa hiyo, Hafai kabla kuapishwa
 

Conflict!

As soon as "he"? Mbona sexism imehalalishwa mpaka katibani?

Halafu 7 inasema mtu akitangazwa ni rais wakati 8 inasema urais mpaka mtu akiapishwa?

Akitangazwa na nani? Tume ya Uchaguzi?

Akitangazwa na Tume ya uchaguzi na kabla ya kuapishwa je? Mbona kama ni "Tume ya Uchaguzi" 7 ina conflict na 8?
 

Oi, katiba ya zamani hiyo.
 

Yes, this is it, "Bonafide."
 
Na hapa ndipo Uhuru anapoharibu,na hapa ndipo anapoonyesha ana utapiahekima na busara,na hafai kupewa ofisi namna hiyo.Hapa bila hata sheria,common sense tu ingemtosha kufanya kitu sahihi,hajaapishwa manake hajawa rais rasmi kwanini apande ndege rasmi ya rais.Hizi zote zote anazofanya ni siasa tu ingawa yeye hataki wenzake wafanye siasa hizohizo.Kwa hali ilivyo sasa na kama ambaye mtu anayepaswa kuonyesha kujali utawala wa sheria alitakiwa asikubali hizi visits za mabalozi,kutembelea ofisi mbalimbali kama rais wakati si rais kwa utaratyibu wa kisheria ulivyo sasa.
 

History repeats itself, "just NOT YET UHURU"
 
Citation, please Mkuu quote reference .

thanks
 
legally uhuru is president elect, the supreme court does not DECIDE WHO BECOMES THE NEXT PRESIDENT OF KENYA, THAT WAS DECIDED BY VOTERS!! I thought ODINGA knew this but it turns out he is intentionally fanning emotions countrywide to create ethnic tensions!

......what the supreme court does is hear and make rulings on PETITION BASED ON EVIDENCE GIVEN BY THE AGGRIEVED .i.e cord. let us not mislead Kenyans on the role of the courts!

....things like swearing in to become the commander in chief, those are just ceremonial, otherwise if kibaki is still president then he still assumes office which is untrue.

the presidential jet of the commander in chief was used by uhuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…