B bornthelast Member Joined Jul 11, 2022 Posts 24 Reaction score 15 Aug 21, 2024 #1 Habarini wakuu, Naomba kuuliza kama yupo mwenye kufahamu mutual funds(kama vile UTT nchini tanzania) kwa nje ya nchi (esp. Marekani & Uingereza) ambazo zinaruhusu foreigners kuinvest atupe mwangaza watu wachangamkie fursa. Asanteni
Habarini wakuu, Naomba kuuliza kama yupo mwenye kufahamu mutual funds(kama vile UTT nchini tanzania) kwa nje ya nchi (esp. Marekani & Uingereza) ambazo zinaruhusu foreigners kuinvest atupe mwangaza watu wachangamkie fursa. Asanteni