"Muuaji" ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa UVCCM

Ccm ni kundi la wakatili lilijivika joho la siasa ..... Sifa kubwa ya kuteuliwa ccm lazima usemee hadharani namna utakavyoua raia.
 
Watu wa jinsi hiyo ndio uhalisia wa CCM yenyewe na wanapendwa sana.

Msije kushangaa siku mnaambiwa Nchimbi amekufa baada ya kuugua kwa muda mfupi.
 
Si kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…