Muugizaji nguli Will Smith akiwa Serengeti

Wizara Yetu imenisikitisha sana. Will Smith ni muigizaji nguli kutoka marekani. Hakika ni muigizaji ambae ana watu wengi wanaemfatilia. Nilidhani kufika kwake hapa nchini pangepewa kipaumbele. Kuna watu huko ulaya na Amerka hawakujui Tanzania kabisa.
Kufika kwake hapa ni fursa ya kutangaza mlima Kilimanjaro na mbuga Yetu ya Serengeti kwamba vipo Tanzania na sio Kenya. Ni fursa nzuri ya kutangaza mbuga zetu nyingine pia na Tanzanite Yetu.
 
ukimuweka Will Smith kwenye tangazo lenu utamlipa sh.ngapi labda kwa mfano??

please toeni ushauri wizara wawe wabunifu sio kudandia kiki ya mteja aliyekuja kutumia pesa yake.
 
Wakenya washachangamkia fursa wanakuambia hapo ni tsavo
 
Nadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147
Wizara za Serikali na taasisi zake, sio wabunifu! Kazi hii wanaiweza Wakenya!!
 
Jamaa anatisha maana mapigo yake yameendana na mnyama Pundamlia.
 
Nadhan huu ilikua wakati muafaka kwa wizara ya maliasili na utalii kutumia ziara ya nguli huyu kutangaza malisili zetu yani mbuga na mlima Kilimanjaro hata Tanzanite zetu.
View attachment 478147

Kwani kaletwa hapaTZ na wizara au kaja kwa raha zake...?? Msitoe ushauri wa ajabu eti wizara itumie fursana hii kujiuza, wanahela ya kumlipa mtapotumia "will smith brand" without his will ..? Nyie muacheni tu afanye yake asepe na siku akija kwaajili ya promo ya wizara basi itakuwa sawa kabisa kwa wizara kuuza sura na Mzee wa "Men In Black -1997.
 
Ulitaka wafanye vp.... toa ushauri au maoni.... sio malalamiko tu
 
kuna mengi ya kufanya na sio kumwangali a yeye tu ni mkubwa kwako
 
ukimuweka Will Smith kwenye tangazo lenu utamlipa sh.ngapi labda kwa mfano??

please toeni ushauri wizara wawe wabunifu sio kudandia kiki ya mteja aliyekuja kutumia pesa yake.
We Bashite vipi kuna mtu kasema awekwe kwenye tangazo? Ziko njia nyingi sana za kuijulisha dunia kwamba amekuja, Mfano ni alipotembelea Ikulu last time
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…