M Mangi flani hivi JF-Expert Member Joined Jan 2, 2016 Posts 2,026 Reaction score 3,107 Mar 11, 2017 #61 Huo ushauri wako unataka umfikie nani? Kama ni waziri wa utalii Hana huo Muda wa kutangaza hayo mapori.
Huo ushauri wako unataka umfikie nani? Kama ni waziri wa utalii Hana huo Muda wa kutangaza hayo mapori.
LuisMkinga JF-Expert Member Joined Jan 10, 2012 Posts 3,255 Reaction score 6,252 Mar 11, 2017 #62 NyaniMzee said: Wizara iko bize na mambo mengine Click to expand... Wanakagua vyeti
K konyola JF-Expert Member Joined Dec 13, 2016 Posts 4,191 Reaction score 6,636 Mar 11, 2017 #63 Wanatwangana makofi na kuwekana ndani huko dofodoma wakimaliza ndo muwape huo ushauri wenu