Muuguzi (nesi) anaruhusiwa kufungua ama kuanzisha duka la dawa

Muuguzi ngazi ya diploma, naombeni maoni yenu wakuu.
Duka la dawa la kiwango gani? Kama ni zile Duka la Dawa Baridi, mtu yeyote anaruhusiwa kuwa nayo. Baada ya kupitia mafunzo na kukidhi vigezo vingine vinavyohitajika.

Kama ni Pharmacy, basi atapaswa kumtafuta Mfamasia. Leseni yake itumike kuomba kibali cha kufungua pharmacy. Gharama za malipo zitakuwa makubaliano yao.
 
Kuna tofauti kati ya Duka dawa Baridi na Pharmacy ?
 
Duka la dawa la kiwango gani? Kama ni zile Duka la Dawa Baridi, mtu yeyote anaruhusiwa kuwa nayo. Baada ya kupitia mafunzo na kukidhi vigezo vingine vinavyohitajika.

Kama ni Pharmacy, basi atapaswa kumtafuta Mfamasia. Leseni yake itumike kuomba kibali cha kufungua pharmacy. Gharama za malipo zitakuwa makubaliano yao.
Ahaa,, kumbe ni hivo. Maana me ni la kawaida tu ndilo nataka
 
Back
Top Bottom