Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muuguzi Kwa kiingereza ni Nurse.Muuguzi (Nurse) ni nani?
Anafanya kazi gani haswa?
Anautofauti gani na wahudumu wengine wa afya?
Mahabara ndio kitu gani..kwani huko shuleni mlienda kusomea ujinga?Muuguzi Kwa kiingereza ni Nurse.
Basic roles yake ni Care giver .
Anafanya Kazi katika Department zote Hospital Ukiachana na mahabara, radiologist na pharmacy.
Op thietre , Labour,ICU,in patients department,out patient department, Dental clinics,mental health institute,
So Anaplay Role Kubwa Kwa maelezo ya Daktari.
🤣🤣🤣🤣🤣Mahabara ndio kitu gani..kwani huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
#MaendeleoHayanaChama
I got you.Muuguzi Kwa kiingereza ni Nurse.
Basic roles yake ni Care giver .
Anafanya Kazi katika Department zote Hospital Ukiachana na mahabara, radiologist na pharmacy.
Op thietre , Labour,ICU,in patients department,out patient department, Dental clinics,mental health institute,
So Anaplay Role Kubwa Kwa maelezo ya Daktari.
I got you.Muuguzi Kwa kiingereza ni Nurse.
Basic roles yake ni Care giver .
Anafanya Kazi katika Department zote Hospital Ukiachana na mahabara, radiologist na pharmacy.
Op thietre , Labour,ICU,in patients department,out patient department, Dental clinics,mental health institute,
So Anaplay Role Kubwa Kwa maelezo ya Daktari.
Naungana nawe mkono, kama wapo wanaWakati niko mtoto nilikua najua nesi ni mke wa daktari..kumbe kuna manesi wanaume na nikada yenye heshima na utaalamu mzuri kwaajili ya kuhudumia wagonjwa ili wapone vizri waendelee na majukumu yao ya kulijenga taifa.
Kongole kwenu wauguzi wote kwa kazi nzuri ila acheni rushwa za rejareja mnaumiza wagonjwa..kama mnataka hela nendeni kafanye biashara.
#MaendeleoHayanaChama
Naungana nawe mkono, kama wapo wanaoomba rushwa waache kabisaa na wadhibitiwe haswa.Wakati niko mtoto nilikua najua nesi ni mke wa daktari..kumbe kuna manesi wanaume na nikada yenye heshima na utaalamu mzuri kwaajili ya kuhudumia wagonjwa ili wapone vizri waendelee na majukumu yao ya kulijenga taifa.
Kongole kwenu wauguzi wote kwa kazi nzuri ila acheni rushwa za rejareja mnaumiza wagonjwa..kama mnataka hela nendeni kafanye biashara.
#MaendeleoHayanaChama