Muuguzi,tabibu,mganga au daktari

Muuguzi,tabibu,mganga au daktari

Dogo G

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
1,052
Reaction score
440
Haya maneno huwa yananichanganya sana si mimi tu bali hata watu wengineo.

Ninavyofahamu tabibu-ni yule mganga mwenye taaluma ya uganga wa diploma ama advanced diploma kwa kimombo C.O au AMO.Mganga ni yule mwenye taaluma ya Degree ya udaktari(MD).Muuguzi ni neno linalotumika kuwaunganisha hao waganga na manesi.Sasa unakuta watu wanasema wauguzi ni manesi tuu!.

Nipo tayari kukosolewa.
 
Back
Top Bottom