Muulize mshawishi wake Mkubwa ni nani?

Muulize mshawishi wake Mkubwa ni nani?

Bwana Bongo

Senior Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
146
Reaction score
212
Muulize mshawishi wake mkubwa ni nani?

Akikwambia nandy, agnes masugange, Wema sepetu
Huyo ni mwanamke anaye penda mambo ya juu!

Akisema mama uyo ni wakupeleka home kabisa ukaonane na wazazi wake[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom