rakeyescarl JF-Expert Member Joined Dec 9, 2007 Posts 481 Reaction score 147 May 16, 2011 #1 Salaam wakuu! Wadau/Wapenzi wa hawa ndugu zangu naomba namba za simu au naweza kuwaona wapi nikiwa DAR week hii?Nataka niwape mawazo yangu, Natanguliza shukurani,:dance: RE.
Salaam wakuu! Wadau/Wapenzi wa hawa ndugu zangu naomba namba za simu au naweza kuwaona wapi nikiwa DAR week hii?Nataka niwape mawazo yangu, Natanguliza shukurani,:dance: RE.