Muumini Mgonjwa wa Mtume Mwamposa afia katika Kibanda cha Mkaa Kawe Ukwamani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Haya Waandishi wa Habari njooni upesi Kawe jirani na ulipo Msikiti maarufu wa Londa kisha tembeeni hatua chache ulizeni Nyumba ya Mmiliki ( sasa Marehemu ) wa Hoteli Kongwe na Maarufu ya Kawe iitwayo Maifea na mkifika tu hapo ulizeni Nyumba ya Mama wa Kihaya ( Mtani wangu ) aitwae Mama Queen ili ama mumuone huyo Marehemu aliyefia katika Kibanda chake cha Mkaa alichompangisha Marehemu ( ambaye GENTAMYCINE nimeshuhudia Mwili wake ) au atawapeni Taarifa Kamili za huyo Marehemu.

Mkimalizana nae huyo Mama Queen ( Mtani wangu wa Kihaya ) Mwenye Kibanda hicho cha Mkaa alichofia huyo Marehemu Muumini Mgonjwa wa Mtume Mwamposa kwa kupata details zote njooni na Mtani wangu wa Kihaya wa hapa JamiiForums Chachu Ombara mnisalimie na mnishukuru kwa kuwapeni News Top hii Muhimu katika Lodge iliyoko mbele yenu kuna Mpuuzi Mmoja kanilia sana Hela yangu leo anaileta ili niinyooshe ki Mayele Mayele Kitandani.

Mtume Mwamposa una Habari hii?
 
Nimeusoma uzi ila sijaelewa. Tambo nyingi kuliko habari😃😃 mwisho natoka na maswali lukuki kuliko kuhabarishwa
 
Yule aliyekuwa Airtel na sasa anasimamia Hoteli hiyo ya Baba yake huku akinywa Bia na Kulewa kutokana na Stress za Kusumbuliwa na Wanaume anaanza Kutukatia / Kuwakatia Viuno vyake Wateja.

Ana IST Nyeusi inayoanza Kuchoka japo ameshaiweka Sokoni anaiuza ili aongezee na Hela aliyonayo anunue Ndinga nyingine.
 
Haya Waandishi wa Habari njooni upesi Kawe jirani na ulipo Msikiti maarufu wa Londa kisha tembeeni hatua chache ulizeni Nyumba ya Mmiliki ( sasa Marehemu ) wa Hoteli Kongwe na Maarufu ya Kawe iitwayo Maifea na mkifika tu hapo ulizeni Nyumba ya Mama wa Kihaya ( Mtani wangu ) aitwae Mama Queen ili ama mumuone huyo Marehemu aliyefia katika Kibanda chake cha Mkaa alichompangisha Marehemu ( ambaye GENTAMYCINE nimeshuhudia Mwili wake ) au atawapeni Taarifa Kamili za huyo Marehemu.

Mkimalizana nae huyo Mama Queen ( Mtani wangu wa Kihaya ) Mwenye Kibanda hicho cha Mkaa alichofia huyo Marehemu Muumini Mgonjwa wa Mtume Mwamposa kwa kupata details zote njooni na Mtani wangu wa Kihaya wa hapa JamiiForums Chachu Ombara mnisalimie na mnishukuru kwa kuwapeni News Top hii Muhimu katika Lodge iliyoko mbele yenu kuna Mpuuzi Mmoja kanilia sana Hela yangu leo anaileta ili niinyooshe ki Mayele Mayele Kitandani.

Mtume Mwamposa una Habari hii?
Habari nzuri ila mwishoni umalaya wako ukauonyesha na huku utaacha lini? Haya nakukaribisha tena kwenye stand yetu pendwa iPhone zipo za kumwaga
 
Back
Top Bottom