MUUMINI NA PADRI
Muumini mmoja alikuwa akiungama kwa Padri.
Muumini: Nakuungamia wewe Padri wangu, dhambi zangu ni hizi, nina meseji za matusi kwenye simu yangu, nina picha za x kwenye simu yangu.
Padri alimwinamia taratibu na kumwambia:
Unaweza kunifowadia vyote?