Waumini wa Kanisa la ufufo na uzima waonekana wakivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika kanisa lililopo pembeni kidogo mwa Barabara ya Morogoro.
Inaelezwa Askari walifika jirani na kanisa hilo ambapo waliwakuta waumini wakiwa wanafanya ibada kisha ndipo walipoanza kuwaamuru kutoka kutawanyika.
View attachment 3388526