Kitty Galore
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 345
- 100
siku nyingi saaaaana ndo aliyetunga wimbo wa penzi la shemeji ktk album mpya ya wanatwanga na kupepeta.
alichoka zaidi kipindi alipokuwa anahaha....Asha Baraka mlezi wa wana wanatukana weeee wanarudi palepale
hahahahahahah hao wake zake sasa....wakwanza kikojozi akashindwa kuvumilia,wapili akawa anasaidiwa ile mbayakumbe alitokea pale pale, jamaa alikuwa hodari wa kuoa yule, enzi zake ilikuwa balaa sijui siku hizi
muumini ni mwanamuziki mzuri sana ila anaimba ssana mipasho. Pia hana ujanja wa kutunga nyimbo nzuri. Kadhalika anapenda kulalama sana kwenye nyimbo. Hajui kuvaa na wala hawezi kujiweka kwenye unadhifu. Hayo ni baadhi ya mapungufu yake
like it!!!ninamshauri akaimbe taarabu, ndiyo sawa yake