A
Anonymous
Guest
Nchini kwa sasa asilimia zaidi ya 55% ni vijana , ambao wengi hawana ajira na kama ujuavyo nchi yetu ni miongoni mwa nchi ambayo ina asilimia kubwa ya watu wa kipato cha chini..
Sasa sisi vijana wa 1990's ambao tegemezi la taifa kwa sasa coz wazazi wetu 70% kiumri ni juu ya 55yrs..
Tunatoka vyuoni tunapewa mitaji ya laki 5 au 1 million kwa ajili ya biashara either na wazaz,ndugu,jamaa au marafiki au wengine kujitafutia wenyewe mitaji..
TRA imekuwa ikituumiza sana kila mwaka mpya wa makadirio mwezi 1-3 ,
Kwanini usiwekwe utaratibu kwa hawa watu mtaji chini ya 2million hata wale wenye mitaji mikubwa ili biashara zikuwe wawe wanaachwa hata miaka 5 ndiyo kodi ibadilike kwa kiasi kidogo tu coz kila mwaka mpya wa makadirio wanalazimisha biashara yako imekuwa , kama haikulipi si ungeifunga..
Hii nchi ni kubwa na haijengwi na mtu mmoja au 100 n jukumu letu sote
Watu wengine wana mitaji ila wanaogopa biashara za bidhaa, wanaenda kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji ambapo kuna kodi nafuu zaidi
Ripoti ya TRA ya makusanyo ya kodi kuanzia Septemba - Disemba 2024 walikusanya zaidi ya trillioni 10 , haya ni mafanikio ila changamoto ya nchi zetu za kiafrika ni ubinafsi na matumizi mabovu ya fedha za Umma..
Vijana kutokana na biashara zinakuwa kwa taratibu sana wanaogopa kuoa, na hata kujenga coz nyumba walizopanga tu ulipaji wa kodi ni kimbembe.