P Paf JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 1,703 Reaction score 3,307 Jun 26, 2021 #1 Mara kwa Mara nimesikia matamko ya Spika akiwa kwenye ufalme wa kiti chake. Kuna mambo mengine sioni kama anastahili/kulazimika kujibiajibia hata masela kwenye mitandao. Muundo wa Watendaji wa Ofisi ya Bungeni ukoje?
Mara kwa Mara nimesikia matamko ya Spika akiwa kwenye ufalme wa kiti chake. Kuna mambo mengine sioni kama anastahili/kulazimika kujibiajibia hata masela kwenye mitandao. Muundo wa Watendaji wa Ofisi ya Bungeni ukoje?
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Jun 26, 2021 #2 Achana na hiyo lofa we tafuta wali watoto wale...huyo Hana Muda mrefu atatubia uzinzi wake
othuman dan fodio JF-Expert Member Joined Jan 2, 2018 Posts 6,850 Reaction score 11,033 Jun 26, 2021 #3 Jitu lenyewe linaonekana lina dalili zote za outisim ni kuliacha tu unabii wa lema utimie
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jun 27, 2021 #4 Mambo yake mauchie mwenyewe...
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Nov 10, 2021 #5 Tafuta pesa wewe achana na mambo yasiyo kuhusu. Kongwa tunamuelewa sana