Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,292
Heshima kwenu.
Nimejaribu kufutilia midahadala mabalimbali kwenye tv,radio,magazeti kuhusiana na katiba mpya.sijasikia wakijadili jambo lingine zaidi ya muundo wa serekali.
Hata wanasiasa wanajadili hayo hayo tu.
Naomba kueleweshwa ina maana hiyo katiba inahusu muundo wa serekali pekee?