Muundo wa ukaguzi wa shule kabadilika Julai mosi

KAKA YAKO NAPITA

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
1,322
Reaction score
233
Eti kuna tetesi kuwa muudo wa ukaguzi wa shule utabadilika kuanzia julai mosi,ukaguzi hatokuwa kwenye kanda tena bali ukaguzi utaanzia kwenye wilaya mpka kwenye kata,kutakuwa na wakaguzi wa shule kwenye kata wakishirikiana na mratibu elimu,kuanzia julai mosi ofisi za kanda hazitokuepo tena,hyo ni kutokana na mfumo utakao tumiwa unaitwa IMIS.
tujuzane zaidi wakuu kwa anaejua zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…