Kingwendu sionagi uchekeshaji wake zaidi ya kutoa macho......
King majuto na joti hawa utacheka kwa lazma
Erick yupi au omondi wa kenya?Mi bongo anaenchekeshaga ni Eric
Sijawahijua anachekesha akina nami!Nakuunga mkono mkuu.. Kingwendu bado sijapata kujua anachekesha watu wa aina gani..
Majuto is the best of all time, hatumii nguvu ila utacheka tu.PUUMBAV (In Majuto voice)-Mboto
-Mkwere
-Majuto
-Sumaku wa mizengwe
-Masanja
-Joti
Hawa ndio wachekeshaji ambao kidogo wananichekesha wengine nawaona wendawazimu tu.
Babu mkombe mpenda pombe kwenye kikombe mbele ya wapambe haha haaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]tupia picha ya babu mkombe