Tetesi: Muungano: Manufaa zaidi kwa Wazanzibar - Bodi ya mikopo kwa wazanzibar (ZHELB), Pia ZANAJIRA(Ajira portal kwa raia wa zanzibar)

Joined
Jan 5, 2021
Posts
21
Reaction score
13
"Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote anaruhusiwa kuomba mkopo - Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB), Idd Khamis Haji.

Kutoka
#Dira #ZBCUpdates

Lakina hapo hapo hapo Raia wa Zanzibar anaruhusiwa kuomba ajira (Ajiraportal) kama raia wa Tanzania lakini Mtanzania haruhusiwi kuomba Mkopo wala ajira kwa ZHELB NA ZANAJIRA.

KARIBU KWA HOJA NI KIFANYIKE KUBORESHA HUU MUUNGANO.
 
Mzanzibari anazidi kutumbua minofu ya Tanganyika na watanganyika kugombania mifupa iliyobakizwa.ukiangalia maofisini hata zile ambazo siyo za muungano utamkuta mzenji kajipachika.
 
Tanganyika ilibakwa na kuingia ktk ndoa utotoni 1964
 
"Mwanafunzi yeyote wa Zanzibar hana sababu ya msingi ya kukosa mkopo wa elimu ya juu kama ana vigezo kwasababu mwanafunzi Mzanzibar una nafasi mbili za kuomba mkopo, unaweza kuomba mkopo Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB) au Bodi Ya Mikopo Elimu Ya Juu Tanzania (HESLB) kote anaruhusiwa kuomba mkopo - Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Zanzibar (ZHELB), Idd Khamis Haji.

Kutoka
#Dira #ZBCUpdates

Lakina hapo hapo hapo Raia wa Zanzibar anaruhusiwa kuomba ajira (Ajiraportal) kama raia wa Tanzania lakini Mtanzania haruhusiwi kuomba Mkopo wala ajira kwa ZHELB NA ZANAJIRA.

KARIBU KWA HOJA NI KIFANYIKE KUBORESHA HUU MUUNGANO.
Ndio raha hiyo ya kuwa raia wa kisiwani..

Wana fursa sio tuu ya Ajira Bara na Visiwani Bali Ardhi hiyo ndio previlage Yao..

Mwisho usisahau kwenye mapato ya TRA ,na yanayotoka Zanzibar yanahesabiwa na baada ya Dar sehemu nyingine inayoingiza mapato mengi ni Zanzibar
 
Huu Ukakasi Viongozi Kimya Kabisa Hata Aibu Kidogo
 
Back
Top Bottom